Saidi Ramadhani Ally alizaliwa Singida April 22 akiwa ni mtoto wa mwisho kwenye famili ya watoto saba.
Saidi Ramadhani Ally pia anajulikana kama “MAJALIWA” akiwa mkoani Singida hususani katika Mazingira ya nyumbani.
Side Makini (Saidi Ramadhani Ally) ni mmiliki wa Kampuni ya kibinafisi iitwayo
SIDE MAKINI MEDIA GROUPS
(Side Makini Blog, Makini Entertainment, Makini Tech, Side Makini Company Music)
Iliyo anzisha mnamo 2018 ikiwa imetokea tu baada ya Side Makini kupata ushauri na faida ya kuwa na kampuni kutoka kwa Sam Odera, aliyekuwa ni Manager masoko wa Clouds Media Group.
Side Makini Blog
www.sidemakini.com
Kwa sasa hupatikana katika URL ya https://sidemakini.co.tz
Inajihusisha na uchapishaji wa muziki kutoka Tanzania na Barani Africa kiujumla ambayo huwafanya watembeleaji wake waweze kupakua (Downloads) nyimbo bure kwa kutegemea internet pekee nyimbo hizi huwekwa katika matoleo ya Audio na Video zenye format ya Mp3 na Mp4
Tovuti hii haina Uwekezaji wowote zaidi ya kumilikiwa na Side Makini
Sidemakini.Co.tz
www.sidemakini.co.tz
Tovuti hii ilianzishwa mnamo mwaka 2020 September 20 inajihusisha na uchapishaji wa
(Habari, Makala, Mahusiano, Music na Technology)
Tovuti hii huchukua zaidi viunga kutoka katika vyanzo mbali mbali vya Machapisho kutoka kutoka katika tovuti maarufu kama…
(BBC Swahili, Teknolojia Tanzania na Side Makini Blog.)
Makini Entertainment
Makini Entertainment
Lebo ya muziki kutoka Tanzania inayo jihusisha na usimamiaji wa wasanii tofauti tofauti akiwemo
(Roby Tone, Kaligo Master na Mkali Swaxc)
Roby Tone
Kaligo Master
Mkali Swaxc
Lebo hii ilianzishwa mnamo mwaka 2017 mpaka sasa imefanya kazi nyingi na kubwa kwa Upande wa Burudani
Inamilikiwa na Side Makini na inauwekwzaji wa 20% kutoka kwa Baraka Gambe.
Asante kwa Mda wako naimani Umetufahamu
Mawasiliano yangu!!!
+255783235234
sidemakini@gmail.com.
