Home Michezo Bernard Morrison afungiwa mechi tatu Ligi Kuu

Bernard Morrison afungiwa mechi tatu Ligi Kuu

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amepigwa faini ya Tsh. 500,000 na kufungiwa mechi 3 kwa kosa la kumpiga ngumi Juma Nyoso wa Ruvu Shooting wakati wa mchezo uliozikutanisha timu hizo.
(Visited 1 times, 1 visits today)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here